AyoTV

Makocha wa Yanga na Njombe Mji baada ya game kumalizika

on

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es salaam Young Africans leo walikuwa nyumbani katika uwanja wao wa Uhuru kuikaribisha timu ya Njombe Mji kutoka Njombe.

Game hiyo Yanga wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, magoli yakifungwa na Obrey Chirwa aliyepiga hat-trick na Emmanuel Martin na baada ya game makocha wa timu zote mbili waliongea na waandishi wa habari.

VIDEOMagoli: Ushindi wa 4-0 wa Yanga vs Njombe Mji, Obrey Chirwa akipiga hat-trick

Soma na hizi

Tupia Comments