Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Maneno ya Jose Mourinho kuhusu Sam Allardayce kujiuzulu England

on

Siku moja imepita toka aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya England Sam Allardayce atangaze kuachia nafasi yake hiyo kufuatia kugundulika kwa tuhuma nzito dhidi yake, Allardayce ametangaza kujiuzulu kufuatia uchunguzi wa gazeti la Telegraph kugundua kuwa alihusika kushauri uvunjifu wa sheria za usajili za FA.

Baada ya taarifa hizo kocha wa Man United  Jose Mourinho ameoneshwa kusikitishwa baada ya taarifa hizo kumfikia “Nachoweza kusema katika hili kiukweli namkubali Sam muda mrefu lakini nampa pole kwa kilichotokea kwa sababu amepoteza kazi ya ndoto yake kuifundisha timu ya taifa ya England, ninachoweza kusema kilichotekea hakiwezi kuvunja mahusiano yetu na yeye”

TRNAVA, SLOVAKIA - SEPTEMBER 04: Sam Allardyce manager of England speaks prior to the 2018 FIFA World Cup Group F qualifying match between Slovakia and England at City Arena on September 4, 2016 in Trnava, Slovakia. (Photo by Michael Regan - The FA/The FA via Getty Images)

Sam Allardyce

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Sam Allardayce ameachia nafasi hiyo akiwa amedumu nayo kwa siku 67 tu toka ateuliwe kushika nafasi hiyo, nafasi yake kwa sasa itashikwa na kocha wa timu ya taifa ya England chini ya miaka Gareth Southgate 21 wakati akitafutwa mbadala wake.

GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time 3-1 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement