Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Dakika 2 za Yanga walivyonusurika vs Prisons Full Time (1-1)

on

Jumamosi ya November 25 2017 club ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza game yake ya round ya 11 ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi.

Yanga waLIjikuta wakiambulia sare ya kufungana goli 1-1, hiyo ni baada ya Prisons kujifunga wenyewe dakika ya 73 kupitia kwa Jumanne Elifadhili lakini goli lao la kuongoza walifunga dakika ya 10 kupitia kwa Eliuter Mpepo.

 

VIDEO: Yanga ilivyoiadhibu Mbeya City leo Chirwa akipiga hat-trick Nov 19 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement