Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Chelsea ya Antonio Conte imeshindwa kupata matokeo mbele ya Wenger

on

Usiku wa January 10 2018 mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Crabao Cup 2018 ulichezwa katika uwanja wa Stamford Bridge kwa kuzikutanisha timu za Chelsea dhidi ya Arsenal katika mchezo huo wa nusu fainali ya kwanza.

Chelsea ya Antonio Conte licha ya kuwa nyumbani wameshindwa kupata matokeo dhidi ya Arsenal na kujikuta wakilazimishwa sare tasa ya 0-0, kitendo cha kumiliki mpira kwa Chelsea kwa asilimia 53 kwa 47 dhidi ya Arsenal hakujaisaidia timu hiyo.

Kwa matokeo hayo sasa Chelsea atakuwa na mtihani mzito katika mchezo wa marudiano ambao utachezwa katika uwanja wa Emirates ambao unatumiwa na Arsenal kama uwanja wao wa nyumbani, hivyo Chelsea watahitaji ushindi ili kutinga fainali.

Alichokifanya Simon Msuva kwa Wakati Ujao Youth Academy

Soma na hizi

Tupia Comments