Tangaza Hapa Ad

Michezo

Makamu wa Rais wa Simba katoa tuzo ya Kichuya leo October 23 2016

on

Jumapili ya October 13 2016 muda mchache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kati ya Simba dhidi ya Toto Africans kuanza uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, makamu wa Rais wa Simba Geofrey Nyange Kaburu alimkabidhi Shiza Kichuya tuzo yake.

Kaburu alimkabidhi tuzo ya mchezaji bora wa mwezi September wa klabu ya Simba Shiza Ramadhani Kichuya, tuzo ambayo imeambatana na zawadi ya Tsh laki 5. Kama utakuwa unakumbuka Kichuya aliisaidi timu yake kuvuna point 12 katika mechi nne za mwezi September sambamba na kufunga magoli matatu katika mechi nne.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement