Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Roma, Stamina na Madee wametajwa na Meya kuikaribisha timu ya KMC

on

Baada ya club ya KMC iliyochini ya Manispaa ya Kinondoni kufanikiwa kupanda Ligi Kuu Tanzania bara kutoka daraja la kwanza, meya wa Kinondoni Benjamin Sitta ametangaza kuwa siku ya Jumamosi watafanya sherehe ya kuipongezea timu hiyo kwa kupanda Ligi Kuu na kuikabidhi kwa wananchi.

Meya Sitta ametangaza kuwa timu hiyo itatembea kuanzia ofisi za manispaa na mitaa mbalimbali ya Kindoni kabla ya saa nane mchana kuhitimisha sherehe hizo katika viwanja vya Biafra Kinondoni, sherehe hizo pia zitapambwa na wasanii mbalimbali kama Roma na Stamina.

VIDEO:Simba imetangaza kumpeleka Haruna Niyonzima India

Soma na hizi

Tupia Comments