Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Magoli ya Liverpool yalioiua Tottenham Hotspurs EFL Cup

on

Usiku wa October 25 2016 michezo 6 ya Kombe la EFL ilichezwa England, moja kati ya mchezo uliochezwa usiku huo ulikuwa ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Tottenham Hotspurs, mchezo huo ulichezwa katika dimba la Anfield.

Daniel Sturridge scores his sides first goal during the EFL Cup Fourth Round match between Liverpool and Tottenham Hotspur played at Anfield,  Liverpool on 25th October 2016

Liverpool wakiwa nyumbani walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, magoli ya Liverpool yakifungwa na Daniel Sturridge dakika ya 9 baada ya kutumia vyema assist kutoka kwa Marko Grujic, goli la pili alifunga dakika ya 65 baada ya kupokea assist ya Georginio Wijnaldum, wakati goli la Spurs lilifungwa na Vincent Janssen dakika ya 76 kwa mkwaju wa penati.

Video ya magoli ya mechi ya Liverpool vs Tottenham Hotspurs

Video ya magoli ya Arsenal vs Reading, Full Time 2-0

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement