Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Wachezaji wa Simba SC walivyotembelea ofisi za SportPesa

on

Wachezaji wa Simba SC na viongozi wao leo Alhamisi ya October 12 2017 walitembelea ofisi za mdhamini wao mkuu kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa, Simba SC wametembelea ofizi hizo na kufundishwa vitu mbalimbali ikiwemo masuala ya kuji-brand.

Kutoka kulia ni katibu Mkuu wa Simba akimkabidhi Award Mkurugenzi wa Utawala na utekelezaji wa SportPesa Abbas Tarimba.

Kutoka kulia ni mratibu wa timu ya Simba Abbas akimkabidhi jezi iliyosainiwa na wachezaji wa Simba Mkurugenzi wa utawala na utekelezaji SportPesa Abbas Tarimba.

List ya majina 30 ya wanaowania tuzo ya Ballon d’Or 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement