DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Tutarajie video mpya ya Diamond Platnumz na Rick Ross?

on

Muimbaji Diamond Platnumz anazidi kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa zaidi….na mafanikio yake yanazidi kufunguka, tumeona msanii kutokea marekani Rick Ross akimpost kwenye page yake ya instagram kama balozi wa kinywaji cha Belaire na baadae tena tukaona ukaribu wake na msanii Swizz Beatz, kumbe Rick Ross hajaishia kumpost pekee.

Dyna Nyange kafunguka kuhusu kumpost Diamond Platnumz

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement