Tangaza Hapa Ad

Stori Kubwa

PICHA 7: Kutoka kwenye kiwanda kinachoendelea kuwaka moto Mikocheni

on

November  10 2016 zimenifikia taarifa za kiwanda cha matairi ya pikipiki kuwaka moto maeneo ya Mikocheni Industrial Area karibu na chuo kikuu cha Tumaini.

dsc_5558

Kwa mujibu wa moja kati ya wafanyakazi wa eneo la kiwanda hicho ameeleza kuwa sehemu inayoendelea kuungua ni sehemu ambayo zimehifadhiwa tairi za pikipiki, chubu pamoja na pikipiki ambazo hazina matairi.

dsc_5578

millardayo.com inaendelea kufuatilia kwa kina chanzo cha moto huu, hadi sasa jeshi la zimamoto halijafanikiwa kuzima moto juhudi zinaendelea.

dsc_5565

dsc_5562

dsc_5576

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement