Tangaza Hapa Ad

Michezo

List ya mastaa wa Everton tutakaowaona July 13 inazidi kuongezeka

on

Najua unaweza ukawa ni mmoja kati ya watu wanaosubiri kwa hamu ujio wa Everton July 13 Dar es Salaam kwa mara ya kwanza katika historia ya club hiyo ambayo haijawahi kushuka daraja katika Ligi Kuu England.

Nathangelo Markelo

Everton watakuja Tanzania July 13 2017 kucheza game ya kirafiki dhidi ya timu ya Gor Mahia ya Kenya ambao ndio Mabingwa wa SportPesa Super Cup, game hiyo itachezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam, uwanja ambao una uwezo wa kuchukua mashabiki 60000.

Davy Klaassen

Dirisha la usajili bado linaendelea na kuelekea maandalizi yao Everton ya msimu mpya wa Ligi Kuu England imeongeza kusajili mastaa wapya ambao tutawaona katika ujio wao July 13, Everton leo June 19 imetangaza kumsajili Davy Klaassen kutoka Ajax na  Nathangelo Markelo kwa mkataba wa miaka mitatu.

VIDEO: All Goals Taifa Stars vs Lesotho June 10 2017, Full Time 1-1 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement