Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kijana wa miaka 25 aliyeshinda Bajaj kutoka SportPesa

on

Kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa bado inaendelea na utaratibu wake wa kuwashukuru wateja wao na watanzania kwa kuwapokea vizuri na wanaendelea kutoa Bajaj mpya kwa wateja wao.

Kijana Dotto Athumani mwenye umri wa miaka 25 ni miongoni mwa vijana wa Tanzania waliopata nafasi ya kushinda Bajaj mpya kutoka SportPesa kati ya Bajaj 100 ambazo zinaendelea kuwaniwa ndani ya siku 100.

Dotto anafanya kazi ya kinyozi na anaishi Chalinze Kwamakocho, kama haufahamu kushinda Bajaj kutoka SportPesa ni rahisi sana anza kwa kuingia sportpesa.co.tz na jisajili na kuweka ubashiri wako game za siku husika, baada ya hapo tuma neno ‘SHINDA’ kwenda 15888.

Taarifa rasmi kutoka Ubelgiji, Samatta atafanyiwa upasuaji

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement