Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: MSANII UGANDA AMPIGIA MAGOTI SAIDA KAROLI KAFUNGUKA SABABU

on

Msaanii wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli alikuwa ndo msanii pekee kutokea Tanzania aliyepata mualikoΒ katika sherehe ya kufunga Mwaka nchini Uganda ambapo alitoa burudani na wasanii wa nchini humo na miongoni mwa wasanii waliokuwepo kwenye show hiyo ni pamoja na Hanson Baliruno.

Hanson Baliruno ni msanii kutoka Uganda ambaye alimpigia magoti Saida Karoli wakati wa show na kuelezea jinsi anavyo mkubali mkongwe huyo wa nyimbo za asili, Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Baliruno akielezea kwanini alimpigia magoti Saida…

Shangwe alilolipata SAIDA KAROLI kwenye kufunga mwaka UGANDA

Balaa la Queen Darleen Maisha Club, Lavalava amepanda peku kwenye stage

Soma na hizi

Tupia Comments