DSTV

Tangaza Hapa Ad

Michezo

Club za Simba na SingidaUnited zimepewa adhabu

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo Jumanne ya October 10 2017 limetangaza kuviadhibu vilabu vya Simba na Singida United kwa kushindwa kuheshimu taratibu zilizowekwa.

Simba imepigwa faini ya Tsh 500,000 kutokana na kukiuka taratibu na kuingilia mlango usio rasmi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya club ya Singida United uliyochezwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Singida United kwa upande wao wamepigwa faini ya Tsh 500,000 kutokana na mashabiki wao kuingia uwanjani kushangilia goli wakati wa mchezo wa Singida United dhidi ya Kagera Sugar, kitu ambacho ni kinyume na taratibu.

List ya majina 30 ya wanaowania tuzo ya Ballon d’Or 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement