Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Hatimae Mbao FC imepata Basi lao wenyewe… gharama yake ni milioni 70 ( +picha 6 )

on

Kwa timu yoyote ile ni muhimu kuwa na Basi lao wenyewe, hiyo itasababisha Wachezaji kusafiri kwa urahisi zaidi pamoja na kupunguza gharama za kupanda ndege au kukodi Basi jingine.

Club ya soka ya Mbao FC leo Jumatano ya October 18 2017 imekabidhiwa mbele ya Naibu Waziri wa ardhi Angelina Mabula basi ambalo watalitumia katika safari zao mbalimbali katika mechi za Ligi Kuu na mazoezini.

Naibu waziri wa Ardhi Angela Mabula ambae pia ni mlezi na shabiki wa Mbao FC

Basi hilo ambalo ni sehemu ya makubaliano ya Mbao FC na mdhamini wao mpya GF Trick & Equipment, limekabidhiwa kwa mwenyekiti wa Mbao FC Solly Njashi.

“Serikali hii yenyewe ya Magufuli jamani” – MANARA

HUTAKI KUPITWA? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine.… bonyeza page zifuatazo ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER >>> APP YA MILLARD AYO pia bonyeza SUBSCRIBE HAPA >>> YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments