Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Cheki picha za utoto za Neymar, Zidane, Gerard Pique na Cesc Fabregas

on

Moja kati ya vitu ambavyo inawezekana mtu wangu ukawa unavikosa kutoka kwa mastaa wako wa soka ni picha zao za utoto, mara nyingi umekuwa ukiona picha zao za ukubwani na wakiwa katika mafanikio katika soka.

Leo naomba nikusogezee TBT pichaz za mastaa wa soka wa timu ya taifa ya Hispania Cesc Fabregas na Gerard Pique, mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Neymar, mshambuliaji wa kimataifa wa Poland anayeichezea FC Bayern Munuch Robert Lewandowski na kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane.

Zinedine Zidane enzi zake za utoto

Zinedine Zidane

Robert Lewandowski enzi zake za utoto

Robert Lewandowski

Neymar enzi zake za utoto

Neymar

Cesc Fabregas na Gerard Pique enzi zao za utoto

Cesc Fabregas na Gerard Pique

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement