Tangaza Hapa Ad

Michezo

Pascal Wawa kaondoka Azam FC

on

 Beki wa kati wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Azam FC ya Dar es Slaam Tanzania Pascal Wawa, leo November 14 2016 habari zilizoenea katika mitandao ya kijamii kuhusu beki huyo ni kuwa amesaini El Emerreikh ya Sudan.

Wawa ameamua kurudi El Merreikh ya Sudan kwa kusaini mkataba wa miaka miwili wa kutumikia klabu hiyo, ambayo awali aliwahi kuichezea kwa kipindi cha miaka minne.

Pascal Wawa alijiunga na Azam FC mwaka 2014 akitokea klabu ya El Marreikh ya Sudan mwaka, na amefanikiwa  kuichezea Azam FC katika kipindi cha misimu miwili.

ALL GOALS: ZIMBABWE VS TANZANIA NOVEMBER 13 2016, FULL TIME 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement