Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kikosi bora cha wiki cha UEFA Champions League Lionel Messi OUT!!!!

on

Usiku wa April 18&19 2017 michezo ya robo fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017 ilichezwa kwa michezo minne kuchezwa, michezo hiyo ilichezwa huku tukishuhudia baadhi ya record zikiwekwa kama Kylan Mbappe akiwa mchezaji wa kwanza kushinda michezo minne za kwanza ya mtoano UEFA Champions League.

Wakati Juventus walikuwa ni timu ya tatu kuwahi kuitoa FC Barcelona katika hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya pasipo kuruhusu kufungwa goli hata moja baada ya Man United na FC Bayern Munich kuwahi kuifanya hivyo, baada ya kujua timu za Atletico Madrid, Juventus, AS Monaco na Real Madrid zimeingia nusu fainali ya Championse League, leo UEFA wametangaza kikosi bora cha wiki.


VIDEO: Game haikuoneshwa Yanga vs MC Alger, nimeyanasa matukio na goli la Yanga FT 1-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement