Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: FIFA imemfungia refa kutojihusisha na soka maisha

on

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo March 20 2017 limetangaza maamuzi kwa refa Joseph Lamptey aliyechezesha game ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018 Urusi kati ya Afrika Kusini  dhidi ya Senegal.

Refa Joseph Lamptey alichezesha game ya South Africa dhidi ya Senegal November 12 2016 iliyomalizika kwa South Africa kupata ushindi wa goli 2-1, Lamptey kutokana na makosa aliyoyafanya amefungiwa maisha kujihusisha na soka yaani kuanzia urefa hadi uongozi wa aina yoyote ule wa soka.

Lamptey ambaye amefungiwa na FIFA katika ngazi ya kitaifa na kimataifa anatajwa kuhusika na upangaji wa matokeo kwa kufanya maamuzi yake kinyume na sheria wakati wa mchezo wa South Africa dhidi ya Senegal.

ALL GOALS: Simba vs Yanga February 25 2017, Full Time 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement