Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

“Nilimwambia Zari kuhusu mimba niliyompa Hamisa” -DIAMOND


Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz leo amehojiwa na LEO TENA ya CLOUDS FM Dar es salaam na kueleza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Mtoto wa Hamisa na amekiri kuwa mtoto wa Hamisa ni wake na ana muhudumia.

“Wakati huo Hamisa anatuma watu waseme Diamond kamtelekeza mtoto, Dahu yule mtoto kabla ya kuzaliwa nimempa milioni 7 kwa ajili ya kununua makolokolo yote ya mtoto, wakati anakaribi kujifungua nilimpa dola 3000 kwa ajili ya kulipia hospital private ajifungue”>>> Diamond

MTOTO WA HAMISA: Diamond kafunguka kuhusu ukimya wake

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement