Tangaza Hapa Ad

Miji/Nchi

PICHA 20: Muonekano wa barabara za Harare Zimbabwe

on

Mtu wangu wa nguvu katika pitapita za millardayo.com ikiwa Harare Zimbabwe nikaona nikusogezee, muonekano wa barabara za Harare Zimbabwe, kama hujui Zimbabwe ni nchi ambayo ina watu milioni 13 hiyo ni kwa mujibu wa sensa ya  2012.

20161114_114212

Naambiwa pia Zimbabwe inaripotiwa kuwa watu wake kati ya milioni 3 hadi 5 wanaishi nje ya Zimbabwe, mtu wangu wa nguvu inawezekana umewahi kufika Harare au una mpango wa kufika Harare, naomba nikusogezee picha 20 za muonekano wa barabara za Zimbabwe.

20161114_114206

20161114_114129

20161114_114003

20161114_113836

20161114_113431

20161114_113405

20161114_113255

20161114_113201

20161114_113137

20161114_113016

20161114_112828

20161114_112700

20161114_112524

20161114_112351

20161114_112332

VIDEO: Waziri Mwigulu Nchemba kwenye On Air with Millard Ayo akitaja wasanii wa Bongofleva anaowakubali

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement