DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

“Kipindi cha pili game ya Stars na Malawi haikuwa nzuri kuitazama”-Ron van Geneugden

on

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Malawi Jumamosi ya October 7 na kulazimishwa sare ya kufungana magoli 1-1, goli la Malawi lilifungwa na Ngambi Robert dakika ya 35 la kusawazisha kwa Taifa Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 57.

Baada ya game kocha mkuu wa timu ya taifa ya Malawi Ron van Geneugden ambaye hakumaliza dakika 90 akiwa katika benchi na kutolewa na refa Israel Mkongo aliongea na waandishi wa habari na kuelezea mchezo kwa ujumla na uwezo wa refa.

“Matokeo ya 1-1 hajanifurahisha kwa sababu tulianza kwa kucheza vizuri lakini pia tulikuwa na uwezo wa kutengeneza nafasi za kufunga lakini Tanzania walibadiliko walivyorudi mapumziko ila sijafurahishwa na muamuzi kwa baadhi ya maamuzi kunipeleka jukwaani na kuonesha kadi nyekundu kwa wachezaji wawili wa Stars” >>> Ron van Geneugden

ALL GOALS: Taifa Stars vs Malawi October 7 2017, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement