Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

VideoFUPI: Magoli ya Habib Kiyombo yaliyoiua Yanga leo

on

Jumapili ya December 31 Yanga ilicheza mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa mwaka 2017 dhidi Mbao FC katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na Yanga kupoteza mchezo huo kwa kufungwa magoli 2-0, magoli ya Mbao yalifungwa na Habib Kiyombo.

Niyonzima baada ya Bocco kuipatia ushindi Simba leo

Soma na hizi

Tupia Comments