DSTV

Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Makubaliano waliyoingia Clouds Media, SHADAKA na TUSA kuhusu mashindano ya vyuo vikuu

on

Clouds Media Group kwa kushirikiana na SHADAKA Sports Management leo imetangaza kuingia makubaliano na Tanzania Universities Sports Association (TUSA) kwa ajili ya kuwasaidia kuandaa michuano ya vyuo vikuu itakayoanza mwezi December mwaka huu jijini Dodoma.

Clouds wamekubali kuingia na kuendelea kuunga mkono na kuinua michezo kutokea vyuo, hivyo makubaliano hayo waliyoingia leo yanalenga kuwavuta wadhamini wengine kujitokeza lakini michuano ya vyuo vikuu mwaka huu itashirikisha michezo mbalimbali.

Taarifa rasmi kutoka Ubelgiji, Samatta atafanyiwa upasuaji

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement