Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Kuuli amethibisha baadhi ya wajumbe kuhojiwa na TAKUKURU

on

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania TFF Revocatus Kuuli amethibitisha kuwa amepokea taarifa kutoka kwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kuwahoji baadhi ya wagombea kwa kutoridhishwa na nyendo zao.

“Taratibu zote zipo vizuri uchaguzi wetu utafanyika kesho tunatarajia wajumbe wawe ndani ya ukumbi kuanzia saa mbili asubuhi, taarifa nilizonazo kampeni zinaendelea vizuri isipokuwa kwa wagombea wachache ambao nimetaarifiwa na TAKUKURU kwamba walihojiwa lakini sijaelezwa kwa kirefu”

VIDEO: Ushindi wa Simba vs Rayon Sports, Simba Day 8 2017 Full Time 1-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement