Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 21: Ulinzi ulivyoimarishwa Mahakama Kuu leo kwenye kesi ya Wabunge wa CUF

on

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo August 4, 2017 imetupilia mbali pingamizi la Wabunge 8 wa  Viti Maalumu waliofutwa uanachama na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba ya kutaka wabunge wateule 8 wasiapishwe na Bunge.

Hizi hapa picha 21 kutoka Mahakamani hapo zikionesha hali ya ulinzi wakati wa kesi hiyo.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement