Tangaza Hapa Ad

Michezo

Chelsea imemsajili beki kutoka Fiorentina kwa dau la pound milioni 24

on

Ikiwa bado tunahesabu saa kadhaa kabla ya dirisha la usajili kufungwa barani Ulaya, baadhi ya vilabu tayari vimetangaza kukamilisha usajili wa mastaa wao, Chelsea tayari imemsajili beki kutokea Fiorentina Marcos Alonso kwa mkataba wa miaka mitano.

Usajili wa mastaa wengine ambao umeshakamilika leo August 31 zikiwa zimesalia saa kadhaa dirisha la usajili kufungwa.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement