Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Mabadiliko ya game ya Simba na Lipuli FCna adhadu zilizotangazwa leo

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo kupitia kwa afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura wametangaza kuwa wametoa adhabu mbalimbali kwa timu za Ligi Kuu, Ligi daraja la kwanza na pili kwa kukiuka kanuni za Ligi hizo.

Bodi ya Ligi imetangaza adhabu hizo sambamba na kutangaza mabadiliko kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Lipuli FC uliyokuwa uchezwe katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi siku ya Jumapili umeahirudishwa uwanja wa Uhuru.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Prisons pekee ndio utachezwa Chamazi siku ya Jumamosi ya November 25 kwa madai ya kuwa watu wa riadha watakuwa wanautumia uwanja wa Uhuru.

VIDEO: Yanga ilivyoiadhibu Mbeya City leo Chirwa akipiga hat-trick Nov 19 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement