DSTV

Tangaza Hapa Ad

Michezo

List ya majina 30 ya wanaowania tuzo ya Ballon d’Or 2017

on

Jioni ya October 9 2017 France Football ambao ndio waandaaji wa tuzo za Ballon d’Or  wametangaza majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo za Ballon d’Or kwa mwaka 2017, majina ya mastaa 30 yametajwa wakiwemo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wanaoongoza kushinda tuzo hiyo, Lionel Messi akiongoza kwa kutwaa mara tano na akifuatiwa na Cristiano Ronaldo aliyetwaa tuzo hiyo mara nne.

Hii ndio list ya majina 30 ya wachezaji wanaowania Ballon d’Or 2017

ALL GOALS: Taifa Stars vs Malawi October 7 2017, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement