Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

FULLVIDEO: Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia studio, Wazungumza haya

on

Wasanii wa muziki wa dance nchini ambao wameachiwa hivi karibuni kutoka gerezani kwa msamaha wa Rais JPM, Babu Seya na Papii Kocha Leo January 5, 2017 wametembelea studio za Wanene ambapo walipelekwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza.

Wasanii hao baada ya kutembelea studio za Wanene walifanya mazungumzo na Uongozi wa Wanene ikiwa ni kwa lengo la kufanya nao kazi, wamezungumza na vyombo vya habari na kuelezea kuhusu utayari wao kufanya kazi na tutegemee kama watafanya bongofleva?.

Bonyeza PLAY kumsikiliza Naibu Waziri pamoja na BABU SEYA & PAPII KOCHA

Video iliyowanasa Babu Seya na wanae wakiingia IKULU leo

Msanii anayeishi Sweden kuhusu Bongofleva “Diamond kupata mtoto wa nje, Vanessa kusign”

Soma na hizi

Tupia Comments