Habari za Mastaa

VIDEO: Baada ya Kusaga kusema Fiesta ipo, Gardner kaongea, ‘Tarehe na Venue’

on

Mtangazaji wa Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi Gardner G Habash amezungumza baada ya kuulizwa kuhusu kufanyika kwa tamasha la Fiesta kwa hapa Dar es Salaam ikiwa hapo awali iliahirishwa kufanyika kwa tamasha hilo mpaka ambapo leo hii Mkurugenzi wa Clouds Media Joseph Kusaga kuthibitisha kuepo kwa tamasha hilo kabla mwaka kuisha.

Kusaga amethibisha kufanyika kwa tamasha la Fiesta wakati akiwa alipokuwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds TV ikiwa ni kuadhimisha miaka 19 ya kuanzishwa kwa Clouds.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama GARDNER akiongea.

VIDEO: Office mpya za Clouds, Seba Maganga azungumza siku ya uzinduzi

VIDEO: Huyu ndiye Producer Kimambo kafunguka Shetta kutumia biti ya Nandy

Soma na hizi

Tupia Comments