PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

32 bora ya Europa League KRC Genk ya Samatta yatupwa Czech

on

Baada ya kupangwa kwa ratiba ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 jioni yake ilikuwa ni zamu ya kupangwa kwa droo ya hatua ya 32 bora ya michuano ya UEFA Europa League ambayo tayari ratiba imepangwa.

Kwa upande wa KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta wao wamepangwa na Slavia Praha ya Jamhuri ya Czech na sasa wataanzia ugenini, kama iliputika kutazama LIVE hii ndio ratiba kamili mtu wangu.

MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe

 

Soma na hizi

Tupia Comments