Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

BEN POL NA ROMA LIVE: waimba na bendi ya Compozers Usiku wa Mwaka Mpya

on

Usiku wa Tarehe 31, 2017 ikiwa ni mkesha wa Mwaka Mpya wakali kutokea London, Compozers walikuwa Hyatt Hotel iliyopo Dar es Salaam na kutoa burudani ya nguvu baada ya kupiga live na bendi yao huku wakipiga hadi nyimbo za bongofleva na kuwapigia wasanii wa bongo walioperfom usiku huo..

Baadhi ya wasanii hao ni pamoja na Roma Mkatoliki aliyeimba wimbo wake wa Zimbabwe na Ben Pol aliyeimba wimbo wa Darasa Muziki ambao alikuwa ameshirikishwa na nyimbo zote hizo zilipigwa live na wakali hao Compozers kitu kilicho wavutia watu wengi waliohudhuria siku ya jana..

Sasa Millardayo.com na Ayo TV imelinasa tukio lote na inakusogezea time hii na wewe uweze kutazama kilichotokea usiku wa jana kwenye mkesha wa mwaka mpya, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Roma na Ben Pol walivyoimba.

NOMA!! Watazame COMPOZERS walivyo pagawisha DSM na Muziki wa LIVE hadi Bongofleva

Soma na hizi

Tupia Comments