Premier Bet

Top Stories

Kamanda Muroto hajawaacha salama matapeli “tumeanza mwaka hivo” (+video)

on

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa wanne kwa makosa ya wizi wa hati za viwanja, kubadili ramani za mpango Mji na kuuza viwanja kwa njia ya utapeli, Kamanda wa Polisi Gilles Muroto leo amezungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake na kueleza namna walivyowakamata watuhumiwa hao.

RC MWANRI “KURUPUKUSHANI SUKUMA NDANI NI KIZAAZAA HATA UNAUMIA”

Soma na hizi

Tupia Comments