Top Stories

Injinia alieambiwa soma hiyoo na RC Mwanri akutana na Makamu wa Rais (+video)

on

Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amekagua na kuweka jiwe la msingi katika kituo cha Kituo cha Afya alichosomeshwa Injinia na RC Mwanri cha Kata ya Igagula katika Wilaya Uyui Mkoani Tabora kinachojengwa zaidi ya Milioni 400. 

“Na nyumba ya mtumishi itoke hapo ambapo ninyi hamna na ujenzi ulipofika haitatoka nyumba kwa nini hamkwenda na ule mwongozo, Injinia tunataka kujua kwa nini nafurahi kuwepo pale tukio lilipotokea” Makamu wa Rais

RC Mwanri achekelea alipoombewa abaki Tabora na Bashe “anasukumia mambo mengi” (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments