Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Baada ya kufungiwa kuimba na kupost mitandaoni kwa miezi 6, Pretty Kind ameyasema haya

on

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza, January 7, 2018 alizungumza na waandishi wa habari na kutangaza kumfungia msanii Pretty Kind kutojihusisha na masuala yoyote ya sanaa kwa miezi 6.

Pretty Kind baada ya maagizo ya Naibu Waziri Shonza aliongea na waandishi wa habari na kuomba msamaha kwa Serikali na Wananchi.

“Naomba radhi kwa Watanzania wote kwa hiki nilichofanya, natambua nimefanya kosa, nachukulia hiki kilichotokea nitaweza kujifunza, nilipituiwa sikukusudia kufanya vile,” – Pretty Kind

VIDEO: “HATAKIWI KUIMBA, WALA KUPOST CHOCHOTE KATIKA MITANDAO KWA MIEZI 6”- JULIANA SHONZA

Soma na hizi

Tupia Comments