Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ridhiwani na Mama yake walivyocheza ‘Nani kama Mama’ kwenye Harusi ya Alikiba

on

Usiku wa April 29, 2018 wasanii wa bongofleva ambao ni ndugu Alikiba na Abdukiba kwa pamoja walifanya sherehe ya harusi zao walizokuwa wamefunga siku za hivi karibuni katika ukumbi wa Serena uliopo Jijini DSM, sherehe ambazo zilihudhuriwa na mastaa mbali mbali wakiwemo Viongozi wa serikali.

Mmoja wa Viongozi ambao walihudhuria sherehe hizo ni pamoja na mbunge wa Chalinze Ridhiwani pamoja na mama yake mama Salma Kikwete ambao walionekana wakicheza wimbo wa nani kama Mama wimbo uliokuwa ukiimbwa na Christian Bella na Ommy Dimpoz.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama

ALIKIBA ALIVYOMVALISHA PETE MKEWE AMINA -ViaAzam TV

Soma na hizi

Tupia Comments