Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Hutataka kupitwa na video ya Future alivyotumbuiza MTV MAMA 2016


Rapper kutoka Marekani Future October 22, 2016 aliungana na wasanii wengine akiwemo Wizkid wa Nigeria, Diamond, Alikiba na wengineo kutumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa katika ukumbi wa Ticket Pro Dome Johannesburg Afrika Kusini.

Itazame hii video hapa ujionee Future akitumbuiza kwenye MTV MAMA 2016

ULIIKOSA HII YA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOTUMBUIZA KWENYE MTV MAMA 2016 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement