Habari za Mastaa

VideoMPYA: Msanii Timbulo katuletea hii ya kuitazama inaitwa “Post”

on

Msanii wa Bongofleva Timbulo ametuletea video yake ya wimbo unaoitwa “Post” wimbo ambao Audio imetayarishwa na producer Mocco Genius, video imetayarishwa na Director Lucca Swahili, karibu kuitazama kwa kubonyeza PLAY hapa chini ..

BEEF: Timbulo kuhusu kuibiwa wimbo na Abdukiba ‘wametaka niwaongelee’

EXCLUSIVE: Abdukiba kafunguka “Tunda alikuwa mpenzi wangu, nimemmiss”

Soma na hizi

Tupia Comments