Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la Domayo lililoipeleka Azam FC fainali Mapinduzi Cup 2017

on

January 10 2017 Azam FC walishuka dimba kucheza mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa AmaanAzam FC ambao wanakumbukumbu ya kupata ushindi mnono wa goli 4-0 dhidi ya Yanga mchezo uliyopita, leo wametinga fainali kwa ushindi wa goli 1-0.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement