Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 13 : Hekari 715 alizozitoa Yusuph Manji kwa Yanga wajenge uwanja

on

Mwenyekiti wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans leo Septemba 28 2016 ameikabidhi Yanga eneo la hekari 715 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha michezo cha klabu hiyo na uwanja wa timu, eneo hilo lililopo maeneo ya Geza Ulole Kigamboni limekabidhiwa na wasaidizi wa Manji.

img-20160928-wa0043

Eneo hilo lililotolewa na wasaidizi wa Manji lilikabidhiwa kwa mwenyeiti wa baraza la udhamini la Yanga kwa niaba ya klabu katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba na Mama Fatma Karume.

img-20160928-wa0044

img-20160928-wa0047

img-20160928-wa0034

img-20160928-wa0035

img-20160928-wa0036

img-20160928-wa0037

img-20160928-wa0040

img-20160928-wa0027

img-20160928-wa0028

img-20160928-wa0029

img-20160928-wa0032

GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time 3-1 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement