Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ladies & Gents ni time ya Nandy kwenye bidhaa zake mpya

on

Ni time ya msanii Nandy “African princess” kuja na bidhaa zake za sabuni na mafuta (Nandy Beauty soap na Nandy Petroleun Jelly) ambapo amezitambulisha bidhaa hizo rasmi leo May 17,2018 katika viwanja vya Escape One Dar Es Salaam akishirikiana na Grace Products Ltd.

Nandy amekuwa miongoni mwa mastaa wachache ambao wameamua kujikita katika biashara ndogondogo ukiachilia mbali na biashara ya muziki inayokidhi maisha yao ya kila siku.

 

Miongoni mwa mastaa wanaomiliki brands za bidhaa zao ni pamoja na muigizaji Aunty Ezekiel ambaye anamiliki Body Spray zake, muimbaji Shilole ambaye nae ametoa Chilli sauce za brand yake na Rosa Ree ambaye anamiliki Rosa Ree Mini Super Market.

Shilole ameingiza tani Moja ya Pilipili zake Sokoni, kafunguka Hapa

 

Soma na hizi

Tupia Comments