Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Snura aelezea uhalisia kamili wa Chura…..

on

October 5, 2016 msanii wa Bongo Fleva, Snura aliingia kwenye headlines baada ya wimbo wake uitwao Chura kupewa ruksa na Serikali kuchezwa katika vyombo vya radio na mitandao mbalimbali.

Sasa leo amepata nafasi ya kueleza maana ya Chura pamoja na  utofauti wa marekebisho yalifanyika kwenye video mpya ya wimbo wake uitwao Chura mpaka kupewa ruksa kuchezwa kwenye TV.

Kiukweli video mpya ina utofauti mkubwa sana na ile ya mwanzo kwasababu video hii mpya imeeleza maana halisi ya Chura tofauti na vile ambavyo watu walivyokuwa wakifikiria kwasababu Chura ambae niliyemuelezea mimi ni mwanamke ambae ajatulia katika mapenzi yaani mara mwanamke yuko Issa mara yuko na James yaani haja

Itazame hii video hapa ujionee Snura akieleza uhalisia kamili wa Chura

ULIIKOSA HAYA MAJIBU YA AUNT EZEKIEL KUHUSU UGOMVI WAKE NA EX WA MOSE IYOBO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement