Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VANESSA KAULIZWA: Ni kweli Mpenzi wake mpya anatoka WCB?

on

Kama utakumbuka mwishoni mwa wiki iliyopita mwimbaji wa kike kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee aliperform kwenye stage ya Fiesta 2017 Arusha na wakati anatoa burudani mashabiki walikuwa wanashangilia kwa kulitaja jina la staa mwingine Jux ambaye alikuwa mpenzi wake wakitegemea angepanda jukwaani ili waimbe pamoja.

Pamoja na hilo Ayo TV ENTERTAINMENT imempata mwimbaji Vanessa Mdee na kumuhoji backstage ambapo moja ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu habari za kumpata boyfriend mpya kutoka WCB.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza Full Interview

VIDEO: Vanessa Mdee – ‘kisela” (FIESTA 2017)

ASLAY KAFUNGUKA KUHUSU BEKA: “Nimeanza kutoboa kabla yao”

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement