Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Shahada aliyopewa Queen Latifah akiwa na miaka 48 (video+picha)

on

Staa wa Hollywood Queen Latifah kutokea Marekani ameonyesha uwezo wake katika elimu baada ya kupokea shahada ya uzamivu kwenye sanaa katika chuo cha Newark Rutgers Marekani siku ya May 14,2018.

Queen Latifah mwenye umri wa miaka 48 amejibebea umaarufu duniani  kutokana na kazi zake mbalimbali ikiwemo uigizaji, producer, rappa na kuanza kazi ya uigizaji mwaka 1993 kwenye kipindi cha Tv FOX sitcom ‘Living Single’

Queen Latifah ameonekana kwenye filamu maarufu duniani zikiwemo Set it off, Taxi, Beauty Shop, Girls trip na nyingine nyingi.

Vitu anavyoruhusiwa na asivyoruhusiwa Lulu kufanya kipindi hiki akitumikia kifungo cha nje

 

Soma na hizi

Tupia Comments