Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Singida United inaendelea kushusha vifaa

on

Baada ya club ya Singida United kutangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji Eliuta Mpepo akitokea Tanzania Prisons ya Mbeya.

Leo July 7 2018 kupitia mkurugenzi wa club hiyo Festo Sanga imetangaza kumsajili golikipa wa Njombe Mji anayefahamika kwa jina la David Robert Kisu.

Singida United imethibitisha kuingia mkataba wa miaka mitatu na golikipa David Robert Kisu, hata hivyo Singida imethibitisha kuwa bado usajili uanedelea hawajamaliza.

Soma na hizi

Tupia Comments