Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Diamond Platnumz alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016

on

Mwimbaji Diamond Platnumz kutoka Tanzania alikuwa kwenye list ya waliotumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa katika ukumbi wa Ticket Pro Dome, Johannesburg Afrika Kusini.

Itazame hii video hapa ujionee staa huyo alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016.

ULIIKOSA HII YA WIZKID ALIVYOPOKEA TUZO YA BEST MALE ILIYOKUWA IKIWANIWA NA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement