Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Country Boy LIVE!!! “Turn up” #FIESTA2017

on

Moja ya burudani ambayo ilitarajiwa Fiesta 2017 Arusha ni pamoja na hii kutoka kwa Country Boy ambaye hakuchoka na hakusimama. Unaambiwa ilikuwa ni burudani tu kwenye stage ya FIESTA 2017 ambayo ndiyo msimu mpya ulizinduliwa rasmi akiperform nyimbo kadhaa ikiwemo ‘Turn Up’

Bonyeza Play hapa chini kutazama kila kitu…

VIDEO:Vanessa Mdee – ‘kisela” (FIESTA 2017)

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement