Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Shilole kazungumzia kuhusu kuchorwa tatoo ya ubavu

on

Leo December 1 2016  kwenye U Heard ya Clouds FM mtangazaji wa XXL Soudy Brown ameileta hii  ya Shilole kuchorwa tatoo ya ubavu na jamaa ambaye amemtaja kwa jina la Adam. Soudy Brown amepiga story na Shilole na amemuuliza kuhusu tatoo hiyo……..

>>>’Amechora, ameonesha love basi fresh, lakini tatoo ya mbavu inauma, ana moyo, alinimbia ni kweli ameamua na imetoka kwenye moyo’

Kusikiliza full Stori, Bonyeza play hapa chini

VIDEO: Hatimae upande wa Lady Jaydee waongea kuhusu Clouds, Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

VIDEO: ‘Sipendi uongo, hakuna ya mimi na Davido’ – Christian Bella, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement