Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

YOUNG D: “Sijaona hasara kufungiwa Bongo Bahati mbaya”

on

Msanii Young Dee amezungumza baada ya kufungiwa wimbo wake wa Bongo bahati mbaya ambapo ameeleza kuwa hata yeye hajapewa taarifa yoyote kuhusu kufungiwa wimbo huo zaidi ya kuona kwenye mitandao, isitoshe hajui sababu ya kufungiwa kwa wimbo wake na haelewi nini wanataka na nini hawataki.

Amesema hajafikiria kwenda BASATA kuuliza kuhusu hilo na kwasasa hajaona hasara maybe baadae na hawezi kusema moja kwa moja kama haimuumizi sababu wapo wasanii ambao inawaumiza.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama YOUNG DEE akielezea

‘Mimi na Dax mapenzi yapo, ujauzito haujifichi’ – Dayna Nyange

Snura awashangaa BASATA…. “sijui wanataka nini”

Soma na hizi

Tupia Comments